Breaking News
recent

VOTE FOR DIAMOND PLUTNUMZ, BAADA YA BET SASA DIAMOND AWA NOMINATED KATIKA TUZO ZA AFRIMMA MPIGIE KURA HAPA {2014)

Baada ya BET tunarejea tena nyumbani Afrika,Diamond Plutnumz Yuko  nominated kwenye Tuzo za  #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.Yupo Nominated kwenye category 5.

Best male east afrikaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (nymber1 rmx)ft davidoAnd Best afrikan artist of the year.kuvote fuata link hii BOFYA HAPA Kisha vote kwenye kila category Aliyopo.

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.