Breaking News
recent

MAMBO YA INSTAGRAM: T.I.D AMSHUSHIA MAZITO MWANADADA RAY C CHEKI CONSERVATION ILIVYOKUWA

Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.
Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa za kulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.
“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
Ingawa Ray C hakufafanua katika comment yake aliyoiweka kwenye post ya picha ya TID inayotambulisha Refix ya wimbo wake ‘Asha ‘ uliofanywa na Lamar, TID aliporomosha matusi akimtaka aachana nae kabisa.

“B*tch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you. Ur mistake is urs nakuomba can u just f**k off, help ur boyfriend, I have never liked you, full stop.”
Ameandika TID Hata hivyo mashabiki 

walioandika comments zao walimshambulia tena TID kutokana na kile alichomjibu Ray C ambaye hakutaja kabisa nia ya kutaka kuzungumza na Mnyama TID.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.