Breaking News
recent

BREAKING NEWS:::AJALI MBAYA YATOKEA MDA HUU MAENEO MBEZI KARIBU NA HOTEL YA GIRAFE MTU MOJA ANADAIWA KUFARIKI NA WAWILI NI MAJERUHI,PICHA HIZI HAPA

 Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj



 Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
  Gari ikiwa imeharibika vibaya

Ajali mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa hospitali.Tutakuletea Taarifa kamili.
PICHA NA BLOG ZA MIKOA
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.