Wakati klabu mbalimbali barani Ulaya zikiendela na harakati zake za kufanya usajili ili kuimarisha timu zao kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Engalnd, tayari kuna taarifa kuwa klabu ya Chelsea ipo katika hatua za mwisho kunasa saini ya mchezaji wa Brazil Robert Kenedy Nunes do Nascimento.
Licha ya klabu mbalimbali zimeonyesha nia ya kutaka saini ya mchezaji huyo ikiwemo Manchester United na Barcelona lakini tayari klabu ya Chelsea imewazidi ujanja.
Kennedy mwenye miaka 19 atajiunga na wabrazil wenzake Willium, Oscar, Fillipe Luisna Diego Costa.
No comments:
Post a Comment