Ilikukamata chati kama alivyofanya miaka kadha nyuma rapa 50 Cent ametangaza ujio wa album yake mpya “Street King Immortal” na kwamba atawashirikisha wasanii Kendrick Lamar, Lil Wayne & Chris Brown “Street King Immortal”
50 Cent amesema ana kazi nyingi ila hana uhakika kama zote zitakuwepo kwenye cd hio. Wasanii wengine ni Kidd Kidd na Ne-Yo.
No comments:
Post a Comment