Kijana anayekuja kwa kasi anayeimba HIPHOP "Mas Stanza" ametoa nyimbo nyingine kali inayoitwa Kawaambie.....
Mas Stanza ambae jina lake halisi anaitwa MIRAJ AYOUB amewahaidi mashabiki wake wakae karibu nae maana vitu vizuri vinafuata baada ya hii kawaambie,... Like page yake facebook BOFYA HAPA
Nyimbo nyingine alizoimba na zinafanya vizuri katika gemu ni Historia na Mikasa, Shame, For the people, Kaa kimya...
Download nyimbo yake Mas Stanza - KAWAAMBIE BOFYA HAPA kudownload....
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment