Siku chache zilizopita The Game na Meek Mill wameingia kwenye vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii baada ya The Game kuachia diss track “92 Bars.”
Kwa mujibu wa TMZ, rappers hao walihusishwa na tukio la Sean Kingston kuporwa chain zake kwenye club moja huko Los Angeles, The Game alidai kuwa Meek Mill alimchongea polisi kuwa yeye ndio amehusika na tukio hilo, baadaye Seankingston aliibuka na kupinga kuhusika kwa Meek Mill hapo ndio vita ya maneno ilipoanza.

Meek Mill na yeye hajakaa kimya amejibu shambulio kwa kuachia disstrack kwenye remix ya wimbo wa Young M.A.“Ooouuu.”
No comments:
Post a Comment