Breaking News
recent
SERIKALI YAFUTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012.
Ni kutokana na tume kubaini makosa NECTA.
Grading system iliyotumika mwaka 2012 ni mpya,na sio iliyotumika 2011.
YAFUATAYO YAMEAMULIWA NA BARAZA LA MAWAZIRI
1.Matokeo yote ya kidato cha nne 2012 yamefutwa.
... 2.Standardization ifanyike,ili yapangwe upya kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:-

 -Juhudi za wanafunzi
 -mfumo wa mwaka 2011 ndio utumike
-Ongezeko kubwa la shule nchini
-ongezeko kubwa la wanafunzi

 3.Baraza ni marufuku kufanya mabadiliko yoyote ya mfumo wa grading bila kujadiliana na kushirikisha wadau wengine.

 4.Mfumo wa grading wa 2012 ufutwe haraka na ule wa 2011 ndio utumike.

 TUME BADO INAENDELEA NA KAZI NA RIPOTI ZAIDI ITATOLEWA
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.