Breaking News
recent
FA CUP: WIGAN ATHLETIC MABINGWA, MAN CITY CHALIIII!!!

>>WIGAN 1 CITY 0, SHUJAA BEN WATSON!!
>>MANCINI BAI BAI???
 
BAO LA DAKIKA YA 91 la Ben Watson limewapa ushindi Wigan Athletic, Timu ambayo ipo hati hati kushushwa Daraja, wa Bao 1-0 walipoichapa Manchester City kwenye Fainali iliyochezwa Wembley Stadium hii leo.
Ben Watson, alieingizwa kutoka Benchi, aliruka juu kuunganisha Kona ya Shaun Maloney na kutingisha kamba na kuwasambaratisha waliokuwa Mabingwa wa England Msimu uliopita na kuhakikisha Msimu huu wanaumaliza bila Taji lolote huku kibarua cha Meneja wao, Roberto Mancini, kikiwa kwenye hati hati.WIGAN_1_CITY_0
Kwenye Mechi yote, Wigan walionekana ni Timu bora yenye ushirikiano mzuri sana huku Mchezaji wao Callum McManaman akiwatesa sana na kusababisha hata Fulbeki wa City Pablo Zabaleta atolewa nje kwa kupewa Kadi ya Njano ya Pili na hivyo kuwashwa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 83.
Mbali ya furaha hii kubwa kwa kutwaa Taji lao la kwanza katika Histora yao Wigan wana kibarua kigumu kujihakikishia wanasalimika kushushwa Daraja kwani wapo nafasi ya 3 toka mkiani na wamebakisha Mechi 2 tu, ya kwanza ikiwa ni Jumanne Uwanjani Emirates watakapoivaa Arsenal.
Katika Historia, hamna Timu iliyotwaa FA CUP na kushushwa Daraja Msimu huo huo.
VIKOSI:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Silva, Toure, Barry, Nasri, Aguero, Tevez
Akiba: Pantilimon, Javi Garcia, Rodwell, Milner, Dzeko, Kolarov, Lescott.
Wigan: Robles, Boyce, Scharner, Alcaraz, Espinoza, McCarthy, McArthur, Gomez, McManaman, Kone, Maloney
Akiba: Al Habsi, Caldwell, Watson, Di Santo, Henriquez, Fyvie, Golobart.
Refa: Andre Marriner (W Midlands)
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
WAPI WAMETOKA??
WIGAN:
-Raundi ya 3: Wigan 1 Bournemouth 1 MARUDIANO :Bournemouth 0 Wigan 1
-Raundi ya 4: Macclesfield Town 0 Wigan 1
-Raundi ya 5: Huddersfield Town 1 Wigan 4
-Raundi ya 6: Everton 0 Wigan 3
-NUSU FAINALI [Wembley]: Millwall 0 Wigan 2
MAN CITY:
-Raundi ya 3: Man City 3 Watford 0
-Raundi ya 4: Stoke City 0 Man City 1
-Raundi ya 5: Man City 4 Leeds United 0
-Raundi ya 6: Man City 5 Barnsley 0
-NUSU FAINALI [Wembley]: Man City 2 Chelsea 1
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

LISI YA KUTWAA FA CUP MARA NYINGI:
Manchester United Mara 11
Arsenal 10
Tottenham Hotspur 8
Liverpool 7
Chelsea 7
Aston Villa 7
Newcastle United 6
Blackburn Rovers 6
Everton 5
West Bromwich Albion 5
Manchester City 5
Wanderers 5
WASHINDI:
2013WIGAN ATHLETIC
2012Chelsea FC
2011Manchester City
2010Chelsea FC
2009Chelsea FC
2008Portsmouth FC
2007Chelsea FC
2006Liverpool FC
2005Arsenal FC
2004Manchester United
2003Arsenal FC
2002Arsenal FC
2001Liverpool FC
2000Chelsea FC
1999Manchester United
1998Arsenal FC
1997Chelsea FC
1996Manchester United
1995Everton FC
1994Manchester United
1993Arsenal FC
1992Liverpool FC
1991Tottenham Hotspur
1990Manchester United
1989Liverpool FC
1988Wimbledon FC
1987Coventry City
1986Liverpool FC
1985Manchester United
1984Everton FC
1983Manchester United
1982Tottenham Hotspur
1981Tottenham Hotspur
1980West Ham United
1979Arsenal FC
1978Ipswich Town
1977Manchester United
1976Southampton FC
1975West Ham United
1974Liverpool FC
1973Sunderland AFC
1972Leeds United
1971Arsenal FC
1970Chelsea FC
1969Manchester City
1968West Bromwich Albion
1967Tottenham Hotspur
1966Everton FC
1965Liverpool FC
1964West Ham United
1963Manchester United
1962Tottenham Hotspur
1961Tottenham Hotspur
1960Wolverhampton Wanderers
1959Nottingham Forest
1958Bolton Wanderers
1957Aston Villa
1956Manchester City
1955Newcastle United
1954West Bromwich Albion
1953Blackpool FC
1952Newcastle United
1951Newcastle United
1950Arsenal FC
1949Wolverhampton Wanderers
1948Manchester United
1947Charlton Athletic
1946Derby County
1939Portsmouth FC
1938Preston North End
1937Sunderland AFC
1936Arsenal FC
1935Sheffield Wednesday
1934Manchester City
1933Everton FC
1932Newcastle United
1931West Bromwich Albion
1930Arsenal FC
1929Bolton Wanderers
1928Blackburn Rovers
1927Cardiff City
1926Bolton Wanderers
1925Sheffield United
1924Newcastle United
1923Bolton Wanderers
1922Huddersfield Town
1921Tottenham Hotspur
1920Aston Villa
1915Sheffield United
1914Burnley FC
1913Aston Villa
1912Barnsley FC
1911Bradford City
1910Newcastle United
1909Manchester United
1908Wolverhampton Wanderers
1907Sheffield Wednesday
1906Everton FC
1905Aston Villa
1904Manchester City
1903Bury FC
1902Sheffield United
1901Tottenham Hotspur
1900Bury FC
1899Sheffield United
1898Nottingham Forest
1897Aston Villa
1896Sheffield Wednesday
1895Aston Villa
1894Notts County
1893Wolverhampton Wanderers
1892West Bromwich Albion
1891Blackburn Rovers
1890Blackburn Rovers
1889Preston North End
1888West Bromwich Albion
1887Aston Villa
1886Blackburn Rovers
1885Blackburn Rovers
1884Blackburn Rovers
1883Blackburn Olympic
1882Old Etonians
1881Old Carthusians
1880Clapham Rovers
1879Old Etonians
1878The Wanderers
1877The Wanderers
1876The Wanderers
1875Royal Engineers
1874Oxford University
1873The Wanderers
1872The Wanderers
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.