Breaking News
recent

PRODUCER C9 APATA AJARII......

Producer anayewania tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika sana.
C9 amewahi kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine. 
Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.