Breaking News
recent
SISTER DUU ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA MCHANA WA LEO AKIELEKEA ETHIOPIA..!!

Mama mmoja wa kinigeria amekamatwa na madawa ya kulevya mchana huu katika uwanja wa ndege wa JNIA akijaribu "kum-bypass " Dr.Mwakyembe.

Mwana mama huyo aliyetambuliwa kwa jina la Ojo Athnonie alikuwa amevaa bai bui kwa juu na kufunika sura yake yote.....

Taarifa zinaarifu kwamba mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko chini ya ulinzi mkali wa polisi .....

Kwa mujibu wa StarTV, mwanamke huyo anadaiwa kutumia ubunifu wa ziada kwa kanunua powder za johnson kubwa na kuzikata kwa juu na kisha kuweka kete 99 ambazo zote zimenaswa.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.