Breaking News
recent

PICHA: JUMBA LA KIFAHARI WANALOISHI NICKI MINAJ NA MPENZI WAKE MEEK MILL.

Mahusiano ya Meek Mill ’29’ na Nicki Minaj ’33’ yanazidi kuwa na nguvu na kwa sasa wawili hawa wamehamia kwenye nyumba moja huko mitaa ya Beverly Hills.

TMZ imethibitisha kuwa Nicki Minaj na Meek Mill wanalipa kodi ya dola $30,000 kwa mwezi ambayo ni kama milioni 70 za bongo.
Nyumba ina vyumba tisa vya kulala,mabafu nane  na eneo la kuegesha magari matano.
123567891011
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.