Breaking News
recent

MWANAMKE ALIYEWAAMBUKIZA H.I.V WANAUME ZAIDI YA 586 KWA MAKUSUDI, JE WAJUA ALITAKA KUAMBUKIZA WANGAPI?? SOMA HAPA

Ni mdada wa kimarekani, aliyewaambukiza H.I.V wanaume zaidi ya mia tano (500) kwa makusudi.



Jina lake limehifadhiwa lakini ameshawaambukiza watu wa aina mbalimbali wakiwemo walimu, wanafunzi, wanaume waliooa, na wengine wengi. 



Alisema" Hana anachosubiri zaidi ya kufa, natumia muda huu kuwaambukiza watu wengi zaidi niwezavyo, na hata kuweka list ya wanaume hao aliowaambukiza".

HII NI CARD YAKE INAYOONYESHA KAATHIRIKA.

Kwa mara ya kwanza aliambukizwa H.I.V na kijana mmoja wakati alipokuwa amelewa, "Alimdaganya kwamba katika tendo la ndoa alitumia CONDOMS, lakini alipoenda kupima, alikuta ameathikika na virusi hivyo vya H.I.V.
"Na ndio hiyo siku aliapa kwamba ataambukiza wanaume wengi zaidi ya 2000 na kadili awezavyo" alisema mwanadada huyo.



Wanaume aliowaambukiza katika list yake ni wengi, wakiwemo wana siasa, wasanii na wanafunzi zaidi ya 300. 

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.