Breaking News
recent

RICK ROSS SASA YUPO CHINI YA LABEL MPYA EPIC RECORDS, BAADA YA KUACHANA NA DEF JAM RECORDS

Rick Ross epic records

Tukirudi mwezi wa 9, kulikuwa na uvumi kuwa Rick Ross amesain mkataba kwenye label mpya ya Epic Records baada ya kuonana na L.A. Reid. Mkataba wake wa Def Jam Recods ulikuwa haujaisha, alikuwa anawadai albam moja ambayo ilikuja kutoka Mwezi wa kumi na mbili(12) iliyotoka na jina la "Black Market". Baada ya hapo alikuwa yupo huru, kuchagua kubaki Def Jam au kutafuta sehemu nyingine...

Rick Ross hakuchukua muda mrefu kuchukua maamuzi, ameondoka Def Jam na kujiunga na label mpya iitwayo Epic Records.
Epic Records ilitweet "welcoming Rick Ross to the label" mwisho wa kunukuu...

Je? haya ni maamuzi mazuri kwa Rozay?? Tutarajie nini sasa kutoka kwake akiwa chini ya label mpya ya Epic Records??
Tutapata album mpya kutoka kwake mwaka huu 2016?? Kaa tayari...


Embedded image permalink

Welcome to the family!
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.