Breaking News
recent

MEEK MILL KARUDI: KAACHIA NYIMBO NNE KABLA YA ALBUM YAKE YA DREAMCHASERS 4 KUTOKA...



Mapema ya leo meekmill katoka alipojificha na kuachia nyimbo nne kwa wakati mmoja kama utangulizi wa album yake iitwayo "Dreamchasers 4" kutoka mbeleni. Katika hizo nyimbo nne, amemjibu Drake na Future's WATTBA track "i'm the plug" The final track "FBH" (Fuck Being Humble) Ambao umeandaliwa na mtayarishaji matata sana ajulikanae kwa jina la Jahlil Beats
Hizi ndio nyimbo nne alizotoa Meek mill...
1) Pray for Em
2) I'm the Plug Freestyle
3) Gave Em hope
4) FBH

Download mixtape hiyo iitwayo "4-4 EP" hapo chini

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.