Breaking News
recent

JE WAJUA GARI LA KWANZA KUFUNGWA HUDUMA YA INTERNET 4G??



Kampuni ya GM (General Motors) ya nchini Marekani imetangaza aina za magari ambayo yanatarajiwa kutoka mwaka 2015 ambayo yatakuwa yameunganishwa na huduma ya 4G LTE na kumuwezesha mtumiaji wa gari kuweza kutumia huduma za internet popote atakapo kuwepo.



Hata hivyo, huduma hiyo ya 4G LTE itakuwa ikitolewa na kampuni ya AT&T LTE na gari aina ya Buick ndiyo gari la kwanza ambalo litatoka likiwa na limeunganishwa na huduma hiyo.
Mtumiaji ataweza kunuanua kifurushi cha kuanzia 200MB kwa mwezi kwa $5 na pia 5GB kwa mwezi kwa $50.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.