Breaking News
recent

LALIGA VIDEO: REAL MADRID WATOA KICHAPO KIKALI, RONALDO AONDOKA NA MPIRA

IMG_7372.JPG
Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo dhidi ya Real Sociedad na mahasimu wao Atletico Madrid, leo hii kikosi cha Real Madrid kilijitupa uwanjani kucheza dhidi ya Deportivo La Coruna.
Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Riazor Stadium – dunia imeshuhudia Real Madrid wakiiadhibu Deportivo kwa kipigo cha magoli 8-2.
Mwanasoka bora wa dunia na ulaya Cristiano Ronaldo alifunga mara 3, Gareth Bale alifunga mara 2, wakati James Rodriguez akifunga goli moja na mshambuliaji aliyeazimwa kutoka Man United Javier Hernandez Chicharito akitokea benchi alifunga magoli mawili na kukamilisha ushindi wa kihistoria wa 8-2KI.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
REAL MADRID: Casillas; 6 Arbeloa, 6 Ramos, 6 Varane, 6 Marcelo; 7 Modric 6 (IIaramendi), Kroos, 6 Bale 8 (Hernandez), James, 7 Ronaldo; 8 Benzema 7 (Isco)
Subs not used: Coentrão, Navas, Carvajal, Nacho
Booked: Ramos
Scorers: Ronaldo 29′, 41′, 78′, Rodriguez 36′, Bale 66′, 74′, Hernandez 88′, 90′
DEPORTIVO: Lux; 4 Laure, 5 Diakité, 5 Sidnei, 5 Luisinho; 5 Bergantiños, 5 Medunjanin; 6 Juanfran 5 (Juan Dominguez), Fariña 7 (Toche), Cuenca; 7 Postiga 5 (Cavaleiro)
Subs not used: Pablo, Canella, Agosto Ramírez, Lopo


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.