Breaking News
recent

WAYNE ROONEY AVALISHWA CHEO KIPYA NA ROY HODGSON

http://img.thesun.co.uk/aidemitlum/archive/01597/70_woy_1597261a.jpg

Zimepita wiki kadhaa baada ya kuteuliwa kuwa nahodha mpya wa Manchester United sasa mshambuliaji Wayne Rooney leo amepata uongozi mpya kwenye medani za soka.

Kocha Roy Hodgson amemteua mshambuliaji huyo kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa.
Rooney mwenye miaka 28 amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu.
Rooney aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiiongoza England kwenye mechi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia dhidi ya San Marino, Oktoba 2012.
Staa huyo amewapiku wachezaji wenzake kipa Joe Hart na beki Gary Cahill ambao nao walikuwa wakitajwa kuchukua uongozi huo.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.