Picha ya familia:
Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake,
Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani.
Mke wa mwanamuziki
Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa Malaria.

No comments:
Post a Comment