Breaking News
recent

SOULJA BOY: JUSTIN BIEBER SIO M BAGUZI....


 Justin Bieber alitumia neno la kibaguzi wakati akiwakejeli wamarekani weusi kuhusu swala la ubaguzi wa rangi. Lakini rapper Soulja boy amezungumza na boniface mjaila blog na kusema JB hana hicho cha kumbagua mtu, aliongezea kwa kusema justin bado mdogo na watu wasifikirie kwamba justin ni mbaguzi,
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.