Bi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU)

Zitto kabwe akiwa na Profesa Ibrahimu Lipumba pamoja na watu wengine wakati wa kuuaga mwili wa mama Zitto aliyefariki June 1 2014.

Profesa Ibrahimu Lipumba akijadili jambo mwili kupakiwa kwenda Kigoma.
No comments:
Post a Comment