Edson Cholbi do Nascimento maarufu kama Edinho ni mchezaji soka mstaafu aliyecheza kama mlinda mlango katika klabu ya Santons ambayo Pele alicheza miaka ya 90.
Unaambiwa mtoto wa Pele mwenye umri wa miaka 43 alikamatwa
kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na kutiwa nguvuni na sasa hivi uamuzi
uliotolewa na Mahakama ulitolewa mjini Praia Grande katika jimbo la Sao
Paulo unamuweka Edinho kwenye kifungo cha miaka 33 jela.
Kisa cha kuhukumiwa miaka hiyo ni kutokana na kuhusishwa na
biashara ya dawa za kulevya pamoja na kuwa na uhusiano na wauzaji
wakubwa wa dawa hizo nchini Brazil.

No comments:
Post a Comment