Breaking News
recent

DEMU WA RAPPER CHIPUKIZI, YOUNG KILLER APAGAWA NA PESA ANAZOINGIZA KILLER, APIGA NAZO PICHA AKIACHA SEHEMU YAKE YA JUU WAZI

 Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.