Breaking News
recent

BREAKING NEWS: MAMA WA MBUNGE ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA...

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Shida Salum ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini mheshimiwa Zitto Kabwe.

Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba mama mzazi wa mbunge Zitto Kabwe amefariki Dunia hospitalini alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani.
Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali mama wa mheshimiwa Zitto Kabwe hospitalini siku chache kabla hajafariki dunia.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Ameen
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.