Breaking News
recent

ALICHOPOST RAPPER THE GAME KUHUSU MAPENZI YAKE KWA MANCHESTER UNITED

thegamethe-game-8

Rapper wa kimarekani Jayceon Terrell Taylor aka The Game ambaye kwa sasa yupo barani ulaya kwa ajili ya Tour yake aliyoipa jina la BloodMoney, jana alikuwa jijini Manchester na alitumia nafasi yake kuwepo kwenye jiji hilo kwa kuonyesha mapenzi yake kwa klabu ya Manchester United. The Game alienda kununua jezi ya klabu hiyo na kuitinga kisha kupiga picha na kuitundika katika akaunti yake ya Instagram.
thegame copy
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.