Breaking News
recent

YOUNG THUG AMEMTEMBELEA MEEK MILL AKIWA BADO ANATUMIKIA KIFUNGO CHAKE CHA NYUMBANI...

Young Thug Meek Mill

Kama tunakumbuka hivi karibuni Meek Mill alitumikiwa kifungo cha nyumbani, ambapo kinakadiliwa kuisha mwanzoni mwa mwezi wa sita ( June 1).

Hiyo ikimaanisha Young Thug hakuwepo katika tour yake HiTunes Tour jana usiku katika mji wa Philadelphia.

Badala yake Thugger alienda kumtembelea Meek Mill nyumbani na kuamua kucheza Games mbalimbali kwa Hela nyingi.



Lil durk pia inaonekana aliungana na Thugger (Nyuma ya Young Thug)

Je kuna kitu tukitarajie kati ya wawili hawa??

Ijapokuwa Meek Mill haruhusiwi kufanya mziki mpaka mwisho wa kifungo chake.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.