Breaking News
recent

KENDRICK LAMAR AMEELEZEA KWANINI ANAFIKIRIA LIL WAYNE BADO YUPO JUU....

Kendrick Lamar lil wayne

Kendrick Lamar na Lil wayne sio wanamuziki wanaofanana sana, lakini Kendrick Lamar siku zote humpa pongezi Weezy.

Pongezi zote kwa weezy alizimwaga alipokuwa akifanya interview na The Coveteur.

That’s a real story like, we was just huge, still to this day, huge Lil Wayne fans. Lil Wayne is the greatest. Not only because of his music but also because of the culture he put behind it. It was a big part of what he was talking about, so we always hold Lil Wayne in high regards. Juvenile as well. And yeah, it’s the impact of them man. To be a part of it the same way he was a part of it years later is just a great feeling.” 

Hii inafurahisha kwamba lil wayne ni mkubwa kwa miaka mitano kuliko lamar, lakini anahisi kama wapo katika kizazi tofauti.

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.