Breaking News
recent

ALICHOKIAMUA RAIS HUYU WA SENEGAL KWENYE HEADLINES!!

sall 

Ni ajabu kusikia raisi wa nchi akitaka kupunguziwa muda wake wa kukaa madarakani kwani wengi wao hufurahia maisha hayo na hutamani waendelee kuongoza wananchi wao kwa maisha yao yote kusalia madarakani.
Hii imetokea huko Senegal baada ya rais wa nchi hiyo Macky Sall kupendekeza kura ya maamuzi ili kupunguzwa kwa muhula wake wa kukaa madarakani kwa miaka miwili ikiwa ni kinyume na ile ya viongozi wengine wa Afrika ambao hutamani maisha yao yote kusalia madarakani.
Rais huyo amesema alichaguliwa kwa miaka saba lakini mwakani mwezi Mei anapendekeza kufanyika kwa kura ya maamuzi ili kupunguza kwa muda wake ili kupisha wengine.
Sall alitoa ahadi hiyo ambayo ni baadhi ya ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi uliofanyika mwaka 2012.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.