Breaking News
recent

ULIMISS KUONA RONALDO ALIVYOFIKIA REKODI YA RAUL, NIMEKUWEKEA VIDEO YAKE HAPA...

2367D2F700000578-0-image-5_1417035576778
Real Madrid jana ilisafiri mpaka Uswis kwenda kucheza na klabu ya FC Basel katika mfululizo wa mechi za makundi za ligi ya mabingwa wa ulaya.
Real Madrid walifanikiwa kutoka na ushindi wa 1-0 shukrani kwa mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo aliyefunga goli pekee kwenye mchezo huo na kuweza kuifikia rekodi ya gwiji wa klabu hiyo Raul Gonzalez ya ufungaji wa magoli kwenye michuano ya ulaya – Ronaldo sasa amefikisha magoli 71, sawa na Raul huku akiwa nyuma kwa magoli matatu kumfikia Lionel Messi mwenye magoli 74.



Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.