Breaking News
recent

MAFURIKO YASABABISHA KUKOSEKANA KWA MAWASILIANO KATI YA DUMILA NA MOROGORO BAADA YA DARAJA KUKATIKA



mvua kubwa iliyonyesha morogoro usiku wa jana na leo asubuhi hasa maeneo ya wilaya ya kilosa imesababisha kusimama kwa mawasiliano katika wilaya hiyo, watu wameshindwa kusafiri baada ya daraja la dumila ambalo linalotenganisha wilaya ya kilosa na mvomelo kujaa maji na makazi kadhaa kukumbwa na mafuriko, hivyo magari yanayotoka Dodoma hayawezi kupita na yanayoelekea dodoma pia hayawezi kupita



mmoja wa mashuhuda walioko katika eneo la daraja hilo amesema kuwa hali ni mbaya na mafuriko yasambaa sehem zote na daraja linapoanzia limemeguka na eneo kubwa limegeuka bahari huku kwa mbali wakionekana wakiwa juu ya miti

 

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.