Breaking News
recent

JIBU LA WAZIRI MKUU BAADA YA KUULIZWA NA KAMA TANZANIA ITAJITOA KWENYE JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Serikali imesema licha ya kutokea kwa mvutano kati yake na nchi za
Rwanda, Kenya na Uganda, hadi sasa haijafikia dhamira ya kujitoa kwenye
Jumuiya ya Afrika Mashariki na kwamba mgogoro uliopo utamalizwa
kidiplomasia kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo.
Leo bungeni 104.4 Dodoma, Waziri Mkuu
MIZENGO PINDA amesema lengo la Tanzania ambayo ni walengwa wakubwa ni
kuona muungano huo unakuwa wenye tija kwa wananchi wa nchi wanachama
na si kwa upande mmoja.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.